AdelPhil Online Academy

31 Pins
 3w
Collection by
Karibu katika siku ya ISHIRINI NA TANO ya chalenji ya mwezi mzima ya kukuwezesha kuishia Kistoa (Stoicism). Kabla ya kuingia kwenye somo la ISHIRINI NA TANO unashauriwa kusoma somo la ISHIRINI NA NNE la hapo juzi. Chalenji ya siku 31 Chalenji hii ni maalumu kwa watu wenye dhamira ya dhati kujifunza na hatimaye kumudu Ustoa. Kila siku, kwa siku zote 31, kocha wako atakutumia aya ya kusoma na kufanya tafakuri. Na kutatafutwa wasaa wa kujadili, kuuliza maswali, na vitu kama hivyo. Online Academy, Wako, 25th
Heri ya Mwaka Mpya: Siku ya 25 ya 'chalenji' hii ya siku 31 (mwezi mzima) ya kuanza kuishi kistoa...
Karibu katika siku ya ISHIRINI NA TANO ya chalenji ya mwezi mzima ya kukuwezesha kuishia Kistoa (Stoicism). Kabla ya kuingia kwenye somo la ISHIRINI NA TANO unashauriwa kusoma somo la ISHIRINI NA NNE la hapo juzi. Chalenji ya siku 31 Chalenji hii ni maalumu kwa watu wenye dhamira ya dhati kujifunza na hatimaye kumudu Ustoa. Kila siku, kwa siku zote 31, kocha wako atakutumia aya ya kusoma na kufanya tafakuri. Na kutatafutwa wasaa wa kujadili, kuuliza maswali, na vitu kama hivyo.
Upweke wa makusudi - solitude - ni mchakato wa kuwa mpweke kwa makusudi na kufurahia muda wako bila kuhusika na watu wengine. Hapa chini mwongozo kamili wa jinsi ya kufanya solitude kwa ufanisi: 1. Chagua Mahali Pazuri: - Chagua eneo lenye amani na utulivu, kama bustani au chumba chenye mwangaza mzuri. Chini, Solitude
Heri ya mwaka mpya 2024: Jifunze kuwa mpweke kwa makusudi (solitude)
Upweke wa makusudi - solitude - ni mchakato wa kuwa mpweke kwa makusudi na kufurahia muda wako bila kuhusika na watu wengine. Hapa chini mwongozo kamili wa jinsi ya kufanya solitude kwa ufanisi: 1. Chagua Mahali Pazuri: - Chagua eneo lenye amani na utulivu, kama bustani au chumba chenye mwangaza mzuri.
Karibu katika siku ya pili ya chalenji ya mwezi mzima ya kukuwezesha kuishia Kistoa (Stoicism). Kabla ya kuingia kwenye somo la pili, unashauriwa kusoma somo la kwana la hapo jana Chalenji ya siku 31 Chalenji hii ni maalumu kwa watu wenye dhamira ya dhati kujifunza na hatimaye kumudu Ustoa. Kila siku, kwa siku zote 31, kocha wako atakutumia aya ya kusoma na kufanya tafakuri. Na kutatafutwa wasaa wa kujadili, kuuliza maswali, na vitu kama hivyo.
Heri ya Mwaka Mpya: Siku ya pili ya 'chalenji' hii ya siku 31 (mwezi mzima) ya kuanza kuishi kist...
Karibu katika siku ya pili ya chalenji ya mwezi mzima ya kukuwezesha kuishia Kistoa (Stoicism). Kabla ya kuingia kwenye somo la pili, unashauriwa kusoma somo la kwana la hapo jana Chalenji ya siku 31 Chalenji hii ni maalumu kwa watu wenye dhamira ya dhati kujifunza na hatimaye kumudu Ustoa. Kila siku, kwa siku zote 31, kocha wako atakutumia aya ya kusoma na kufanya tafakuri. Na kutatafutwa wasaa wa kujadili, kuuliza maswali, na vitu kama hivyo.
Kocha wako amekuwa akirudia mara kwa mara kueleza jinsi Ustoa (Stoicism) ulivyo na msaada mkubwa katika maisha yake ya kila siku. Na moja ya kiu kubwa alizonazo ni kuwawezesha watu mbalimbali waweze kujifunza na hatimaye kumudu nyenzo hii muhimu kabisa katika maisha.
Heri ya Mwaka Mpya: jiunge na 'chalenji' hii ya siku 31 (mwezi mzima) ya kuanza kuishi kistoa (St...
Kocha wako amekuwa akirudia mara kwa mara kueleza jinsi Ustoa (Stoicism) ulivyo na msaada mkubwa katika maisha yake ya kila siku. Na moja ya kiu kubwa alizonazo ni kuwawezesha watu mbalimbali waweze kujifunza na hatimaye kumudu nyenzo hii muhimu kabisa katika maisha.
Habari Media Project inayojumuisha Chuo cha Mtandaoni cha AdelPhil, kijarida cha Barua Ya Chahali, blogu ya Ujasusi, na duka la vitabu la ChahaliBooks inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi. Endapo itakupendeza, kuna zawadi mwafaka ya Krismasi/Mwaka Mpya kutoka kwa kocha wako Chuo, Kuna, Projects, Log Projects, Blue Prints
Heri ya Krismasi kutoka kwa Chuo cha Mtandaoni cha AdelPhil
Habari Media Project inayojumuisha Chuo cha Mtandaoni cha AdelPhil, kijarida cha Barua Ya Chahali, blogu ya Ujasusi, na duka la vitabu la ChahaliBooks inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi. Endapo itakupendeza, kuna zawadi mwafaka ya Krismasi/Mwaka Mpya kutoka kwa kocha wako
Pengine hata muda huu unaposoma makala hii, kuna sauti inaongea kichwani mwamko. Pengine inakupongeza kwa kuamua kusoma makala hii, au kukupongeza kwa uamuzi wako ku-subscribe kutumiwa kijarida hiki. Lakini pia huenda sauti hiyo sio tu inakulaumu kwa kudai “unapoteza muda wako” lakini pengine inaenda mbali zaidi na kukutisha kuwa “huyo Evarist Chahali ni mtu hatari”. Working In Mental Health, Transactional Analysis, Internal Family Systems, Gestalt Therapy, Systems Art, Emotional Baggage, Inner Critic, Social Behavior
#JinsiYaKuwaMtuBora: umuhimu wa sauti zinazoongea vichwani mwetu
Pengine hata muda huu unaposoma makala hii, kuna sauti inaongea kichwani mwamko. Pengine inakupongeza kwa kuamua kusoma makala hii, au kukupongeza kwa uamuzi wako ku-subscribe kutumiwa kijarida hiki. Lakini pia huenda sauti hiyo sio tu inakulaumu kwa kudai “unapoteza muda wako” lakini pengine inaenda mbali zaidi na kukutisha kuwa “huyo Evarist Chahali ni mtu hatari”.
Chimbuko la Ustoa linaweza kufuatiliwa hadi katika ulimwengu wa kale, ambako lilianzishwa na mwanafalsafa mashuhuri aitwaye Zeno wa Citium. Ustoa ni shule ya falsafa ambayo iliibuka mara ya kwanza wakati wa Ugiriki na Warumi wa zamani. Ilikuwa shule ya busara na ya vitendo ya mawazo ambayo ililenga kuishi wakati huo, na kukubali kile ambacho maisha yanakutupia bila ya wewe kuhukumu au kujawa na hofu. Seneca, Positive Outlook, Positive Mindset, James Stockdale, Stoic Quotes, Philosophical Quotes, Powerful Quotes, Wise Quotes, Moral Principle
#STOICISM (Ustoa) - moja ya mbinu bora kabisa kuwa mtu imara, ilimsaidia Mandela kukabiliana na c...
Chimbuko la Ustoa linaweza kufuatiliwa hadi katika ulimwengu wa kale, ambako lilianzishwa na mwanafalsafa mashuhuri aitwaye Zeno wa Citium. Ustoa ni shule ya falsafa ambayo iliibuka mara ya kwanza wakati wa Ugiriki na Warumi wa zamani. Ilikuwa shule ya busara na ya vitendo ya mawazo ambayo ililenga kuishi wakati huo, na kukubali kile ambacho maisha yanakutupia bila ya wewe kuhukumu au kujawa na hofu.
Jinsi ya kufanya TAHAJUDI Kutanya tahajudi ni jambo ambalo kila mtu anaweza kufanya. Tahajudi ni rahisi (na ngumu zaidi) kuliko watu wengi wanavyofikiria. Soma hatua hizi, hakikisha uko mahali ambapo unaweza kupumzika katika mchakato huu, weka kipima muda, na uipige risasi: Kwanza, Meditation, Reading, Reading Books, Zen
TAHAJUDI (meditation)- Somo la Pili: Jinsi ya kufanya TAHAJUDI
Jinsi ya kufanya TAHAJUDI Kutanya tahajudi ni jambo ambalo kila mtu anaweza kufanya. Tahajudi ni rahisi (na ngumu zaidi) kuliko watu wengi wanavyofikiria. Soma hatua hizi, hakikisha uko mahali ambapo unaweza kupumzika katika mchakato huu, weka kipima muda, na uipige risasi:
Karibu katika kozi hii muhimu ya STOICISM, moja ya nyenzo bora kabisa kukujenga kuwa imara na kwa ujumla kukufanya kuwa mtu bora, sambamba na kuboresha ubora wako. Mimi ni muumini wa STOICISM, na ni shuhuda kwa jinsi imenisaidia mno kukabiliana na changamoto mbalimbali maishani.
Safu mpya ya #STOICISM - moja ya mbinu bora kabisa kuwa mtu imara [Sehemu ya Kwanza: STOICISM ni ...
Karibu katika kozi hii muhimu ya STOICISM, moja ya nyenzo bora kabisa kukujenga kuwa imara na kwa ujumla kukufanya kuwa mtu bora, sambamba na kuboresha ubora wako. Mimi ni muumini wa STOICISM, na ni shuhuda kwa jinsi imenisaidia mno kukabiliana na changamoto mbalimbali maishani.
Utangulizi Karibu kwenye mwongozo wa tahajudi (meditation), unaojumuisha aina mbalimbali za tahajudi, maelezo kuhusu manufaa ya kila mazoezi, na mazoe ya sauti ya sauti kukusaidia kujifunza jinsi ya kufanya tahajudi na kujumuisha tahajudi katika maisha yako ya kila siku. Endelea kusoma ili kujifunza zaidi kuhusu misingi ya mazoezi haya ya kubadilisha ambayo hutuwezesha kupata furaha zaidi katika maisha ya kila siku.
Safu mpya ya TAHAJUDI (meditation) - Somo la Kwanza: Maana na faida za TAHAJUDI
Utangulizi Karibu kwenye mwongozo wa tahajudi (meditation), unaojumuisha aina mbalimbali za tahajudi, maelezo kuhusu manufaa ya kila mazoezi, na mazoe ya sauti ya sauti kukusaidia kujifunza jinsi ya kufanya tahajudi na kujumuisha tahajudi katika maisha yako ya kila siku. Endelea kusoma ili kujifunza zaidi kuhusu misingi ya mazoezi haya ya kubadilisha ambayo hutuwezesha kupata furaha zaidi katika maisha ya kila siku.
#JinsiYaKuwaMtuBora S01E03: Tabia 14 Zinavyokwamisha Maendeleo (Video)
#JinsiYaKuwaMtuBora S01E03: Tabia 14 Zinavyokwamisha Maendeleo (Video)
MENGINEYO App, Apps
#JinsiYaKuwaMtuBora: Jinsi ya kutuliza hasira chapchap
MENGINEYO
Mara nyingi tunasisitizwa kuhusu nini cha kufanya. Na mara nyingi, tunasikia kuhusu nini cha kutofanya katika mazingira ya amri, ambapo kwa kiasi kikubwa ni lazima na si hiari. Hata hivyo, ili kupata ufanisi maishani, ni muhimu kutengeneza orodha ya nini cha kutofanya pia. Marketing Advice, Internet Marketing, Content Marketing, Choosing Carpet, Free Advice, Best Ads, Marriage Advice, Sticky Notes, Business Fashion
#JinsiYaKuwaMtuBora: ujanja si kujua tu nini cha kufanya bali pia kujua nini cha kutofanya
Mara nyingi tunasisitizwa kuhusu nini cha kufanya. Na mara nyingi, tunasikia kuhusu nini cha kutofanya katika mazingira ya amri, ambapo kwa kiasi kikubwa ni lazima na si hiari. Hata hivyo, ili kupata ufanisi maishani, ni muhimu kutengeneza orodha ya nini cha kutofanya pia.
Ndio, unajali sana watu, na ndio maana unapatikana hadi usiku wa manane. Na wakati mwingine, kupatikana kwako kirahisi huingilia mipango yako kwa sababu mtu anaweza kukurupuka kutoka huko aliko na “kukuibukia” ghafla, lakini kwa vile “wewe ni mtu wa watu”basi inabidi ujibane hivyohivyo umsikilize. Tech Companies, Tech Company Logos, Vile, Create
#JinsiYaKuwaMtuBora: bidhaa ikipatikana kwa wingi hushuka thamani, nawe ukipatikana sana unashuka...
Ndio, unajali sana watu, na ndio maana unapatikana hadi usiku wa manane. Na wakati mwingine, kupatikana kwako kirahisi huingilia mipango yako kwa sababu mtu anaweza kukurupuka kutoka huko aliko na “kukuibukia” ghafla, lakini kwa vile “wewe ni mtu wa watu”basi inabidi ujibane hivyohivyo umsikilize.
Kwa tuliopata malezi mazuri, jambo moja tulilokuwa tunasisitizwa tangu utotoni ni kuwa wema kwa wenzetu. Kwa Wakristo kama kocha wako, kuna mistari kwenye Biblia Takatifu inayosisitiza kuhusu hilo. Na hakuna tatizo kuwa mtu mwema kwa wenzetu. Na kwa hakika dunia ingekuwa mahala pazuri sana kuishi endapo sote tungezingatia umuhimu wa kuwa wema kwa wenzet… Hakuna, Bible
#JinsiYaKuwaMtuBora: kila tunakopita, msisitizo ni kwamba tuwe watu wema kwa wenzetu. Lakini huwe...
Kwa tuliopata malezi mazuri, jambo moja tulilokuwa tunasisitizwa tangu utotoni ni kuwa wema kwa wenzetu. Kwa Wakristo kama kocha wako, kuna mistari kwenye Biblia Takatifu inayosisitiza kuhusu hilo. Na hakuna tatizo kuwa mtu mwema kwa wenzetu. Na kwa hakika dunia ingekuwa mahala pazuri sana kuishi endapo sote tungezingatia umuhimu wa kuwa wema kwa wenzet…
Makala hii ilichapishwa Desemba 13, 2018 katika akaunti ya kocha wako huko insta. Mtumishi wako #EvaristChahali angependa kufahamu kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya furaha na mafanikio . Na jibu haliwezi kuwa "vyote muhimu." Hebu tafakari kidogo kisha ndo uendelee na mada hapa chini. Insta
#JinsiYaKuwaMtuBora: kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mafanikio na furaha?
Makala hii ilichapishwa Desemba 13, 2018 katika akaunti ya kocha wako huko insta. Mtumishi wako #EvaristChahali angependa kufahamu kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya furaha na mafanikio . Na jibu haliwezi kuwa "vyote muhimu." Hebu tafakari kidogo kisha ndo uendelee na mada hapa chini.
Mtumishi wako #EvaristChahali nilikuwa mwandishi wa makala kwa takriban miaka 20 hivi, tangu 1997 hadi mwaka jana 2017. Kilichopelekea nijiingiza kwenye uandishi ni ushauri wa rafiki yangu mmoja aliyekuwa mwandishi wa habari maarufu enzi hizo. Mie na "mob" yangu UDSM tulikuwa na maskani yetu, chini ya ATB (Kwa mnaoijua UDSM) kwenye direct view ya kuingia … Directions
#JinsiYaKuwaMtuBora: ni muhimu kujibidiisha kuitumikia jamii lakini kwamwe usisahau kujitumikia n...
Mtumishi wako #EvaristChahali nilikuwa mwandishi wa makala kwa takriban miaka 20 hivi, tangu 1997 hadi mwaka jana 2017. Kilichopelekea nijiingiza kwenye uandishi ni ushauri wa rafiki yangu mmoja aliyekuwa mwandishi wa habari maarufu enzi hizo. Mie na "mob" yangu UDSM tulikuwa na maskani yetu, chini ya ATB (Kwa mnaoijua UDSM) kwenye direct view ya kuingia …
Heri ya mwezi mpya wa Juni. Fanya tahajudi hii fupi ya kuanza mwezi huu vema. Hapo ulipo, tafuta sehemu iliyotulia. Kama hakuna basi hata baadaye au usiku ni sawa pia. Na sehemu iliyotulia inaweza kuwa msalani pia, ikibidi. Fumba macho. Vuta pumzi ndani taratibu kwa sekunde 5 hivi. Bana pumzi kwa sekunde 5 hivi. Pumua nje kwa kutumia mdomo kwa sekunde 5 … Best Encouraging Quotes, Best Inspirational Quotes, Best Quotes, Wallpaper For Facebook, Facebook Cover Images, Welcome June Images, Quotes About Hard Times, Hello June, Life Hack Quotes
Kwaheri Mei. Karibu Juni: Tahajudi ya mwezi mpya
Heri ya mwezi mpya wa Juni. Fanya tahajudi hii fupi ya kuanza mwezi huu vema. Hapo ulipo, tafuta sehemu iliyotulia. Kama hakuna basi hata baadaye au usiku ni sawa pia. Na sehemu iliyotulia inaweza kuwa msalani pia, ikibidi. Fumba macho. Vuta pumzi ndani taratibu kwa sekunde 5 hivi. Bana pumzi kwa sekunde 5 hivi. Pumua nje kwa kutumia mdomo kwa sekunde 5 …
#JinsiYaKuwaMtuBora: vitu 10 unavyoweza kuviingiza/kuviongeza katika malengo yako kimaisha
#JinsiYaKuwaMtuBora: vitu 10 unavyoweza kuviingiza/kuviongeza katika malengo yako kimaisha
Wanasema “afya ni utajiri mpya” kwa kimombo “health is the new wealth”. Masikini mwenye afya iliyo bora ni “tajiri”(kiafya) kuliko milionea mwenye kansa, au ukimwi. Afya ni kitu kimoja muhimu mno katika maisha yetu. Kimsingi, afya ni msingi wa maisha yetu. Ways To Stay Healthy, Healthy Living Tips, How To Stay Healthy, Wealth Coaching, First Health, Behavior Change, Financial Health, How To Become Rich, Wealth Building
#JinsiYaKuwaMtuBora: Wanasema "afya ni utajiri mpya" (health is the new wealth). Njia 10 rahisi z...
Wanasema “afya ni utajiri mpya” kwa kimombo “health is the new wealth”. Masikini mwenye afya iliyo bora ni “tajiri”(kiafya) kuliko milionea mwenye kansa, au ukimwi. Afya ni kitu kimoja muhimu mno katika maisha yetu. Kimsingi, afya ni msingi wa maisha yetu.
Mada ya leo inaweza kuwakwaza baadhi ya watu hasa wacha-Mungu. Inahusu kitu ambacho takriban dini zote zinakikemea. Kitu hicho ni KISASI Kwenye Ukristo, mafundisho ya kale yalisisitiza umuhimu wa kisasi kwa aya kama "jicho kwa jicho" lakini mafundisho ya baadaye yalikemea kisasi na kusisitiza kusamehe waliotukosea "saba mara sabini." Kwamba mtu akikupiga shavu la kushoto basi mgeuzie na shavu la kulia. Leo, Lion
#JinsiYaKuwaMtuBora: japo dini zinakata kulipa kisasi lakini kuna nyakati twalazimika kulipa kisa...
Mada ya leo inaweza kuwakwaza baadhi ya watu hasa wacha-Mungu. Inahusu kitu ambacho takriban dini zote zinakikemea. Kitu hicho ni KISASI Kwenye Ukristo, mafundisho ya kale yalisisitiza umuhimu wa kisasi kwa aya kama "jicho kwa jicho" lakini mafundisho ya baadaye yalikemea kisasi na kusisitiza kusamehe waliotukosea "saba mara sabini." Kwamba mtu akikupiga shavu la kushoto basi mgeuzie na shavu la kulia.
#JinsiYaKuwaMtuBora: wanasayansi ya ubongo (neuroscientists) wanataja tabia hizi 5 zinazosaidia u...
Kwa mujibu wa wanasayansi ya ubongo (neuroscientists) tabia hizi 5 zitausaidia ubongo wako kuwa na ufanisi mkubwa. Jipongeze kwenye japo ushindi kiduchu (small wins) Zingatia mazoezi ya mwili
#JinsiYaKuwaMtuBora: Jiulize "Mimi ni nani?" Hapana sio jina lako nani bali wewe kama mtu ni nani...
Ukiulizwa “wewe ni nani” jawabu la haraka litakuwa “mie ni flani.” Na hilo ni jibu sahihi kwa sababu muuliza swali alipaswa kufafanua kuwa anachouliza sio jina lako bali wewe kama mtu ni nani hasa? Kwahiyo kabla ya kwenda mbali, chukua sekunde au hata dakika kadhaa kujiuliza swali hili “mimi ni nani?”
Kocha wako amehangaika kutafuta wingi wa neno “uongo” (as in “a lie” kwa Kiingereza ambapo wingi ni “lies”) lakini ameambulia patupu. Ameishia kutumia neno aina 5 za uongo ilhali alichotaka kumaanisha ni “5 lies”. “Kuna kitu hakipo sawa kuhusu mie” Believe, Truth
#JinsiYaKuwaMtuBora: aina 5 za uongo unaojiambia kila siku na jinsi unavyoweza kuondokana nao
Kocha wako amehangaika kutafuta wingi wa neno “uongo” (as in “a lie” kwa Kiingereza ambapo wingi ni “lies”) lakini ameambulia patupu. Ameishia kutumia neno aina 5 za uongo ilhali alichotaka kumaanisha ni “5 lies”. “Kuna kitu hakipo sawa kuhusu mie”
#JinsiYaKuwaMtuBora: Mbinu 4 rahisi za kukuwezesha kujiamini
Kocha wako anaweza kukuthibitishia pasi shaka kuwa kutojiamini ni miongoni mwa matatizo yanayowakabili watu wengi hasa katika mazingira ambayo kuna watu zaidi ya wale ambao mhusika amewazowea. Hata hivyo kuna mbinu kadhaa za kuweza kukusaidia kuwa mtu wa kujiamini. Katika makala hii, kocha wako anakutajia mbinu 4.
Jipe kideti (self-date) Kuoga kwenye mapovu (bubble bath) au kujilaza kwenye maji kwa muda wa kutosha Bubble Bath, Bubbles, Dating, Jeeps, Quotes
#JinsiYaKuwaMtuBora: kabla ya kuhangaikia kupendwa shurti ujipende mwenyewe kwanza. Mbinu 5 za ku...
Jipe kideti (self-date) Kuoga kwenye mapovu (bubble bath) au kujilaza kwenye maji kwa muda wa kutosha
Kocha wako ni mmoja wa watu wanaojiamini sana. Lakini haikuwa hivyo siku zote, hasa kwa vile kama baadhi yenu mnavyofahamu, kocha wenu ni mtu mwenye aibu. Na bila shaka wengi wenu pia mwafahamu kuwa aibu ni moja ya vitu vinavyochangia kutojiamini. Kwahiyo kocha wako amemudu vipi kuwa mtu mwenye kujiamini licha ya kuwa mtu mwenye aibu? Kittens Cutest, Cute Cats, Funny Cats, From Rags To Riches, Puppy Dog Eyes, Male Lion, Cat Stock, Fluffy Cat, Lion Tattoo
#JinsiYaKuwaMtuBora: Mbinu zaidi za jinsi ya kuwa mtu mwenye kujiamini (confident)
Kocha wako ni mmoja wa watu wanaojiamini sana. Lakini haikuwa hivyo siku zote, hasa kwa vile kama baadhi yenu mnavyofahamu, kocha wenu ni mtu mwenye aibu. Na bila shaka wengi wenu pia mwafahamu kuwa aibu ni moja ya vitu vinavyochangia kutojiamini. Kwahiyo kocha wako amemudu vipi kuwa mtu mwenye kujiamini licha ya kuwa mtu mwenye aibu?
Mwanafalsafa wa Kigiriki Diogenes, alikuwa na tabia ya kwenda kwenye sanamu kuiomba impatie hiki au kile. "Nina njaa. Nipatie chakula," alisikika Diogenes mara kadhaa. Watu walipomshangaa aliwaeleza kuwa anafahamu fika sanamu hiyo haitomsikia wala kumpatia anachoomba. Ila anachofanya hapo ni kujifunza kukataliwa (practising rejection). Fika, Rejection
#JinsiYaKuwaMtuBora: jifunze kukataliwa (practice rejection)...kama mwanafalsafa Diogenes
Mwanafalsafa wa Kigiriki Diogenes, alikuwa na tabia ya kwenda kwenye sanamu kuiomba impatie hiki au kile. "Nina njaa. Nipatie chakula," alisikika Diogenes mara kadhaa. Watu walipomshangaa aliwaeleza kuwa anafahamu fika sanamu hiyo haitomsikia wala kumpatia anachoomba. Ila anachofanya hapo ni kujifunza kukataliwa (practising rejection).
#JinsiYaKuwaMtuBora: Tabia 14 zinazokwamisha maendeleo yako (VIDEO)
#JinsiYaKuwaMtuBora: Tabia 14 zinazokwamisha maendeleo yako (VIDEO)
Video
#JinsiYaKuwaMtuBora: Mbinu muhimu ya kujiandaa dhidi ya majanga maishani [VIDEO]