Barua Ya Chahali

167 Pins
 1w
Collection by
MENGINEYO
Mnara wa Babeli: Baada ya Naibu Waziri kuahidi mgao wa umeme mwisho Machi, Waziri wake asema seri...
MENGINEYO
Evarist Chahali
Evarist Chahali
Mmoja wa marafiki wa kweli wa Lowassa alikuwa Rostam Aziz. Ndo aliewezesha sio tu kuondoa tofauti kati ya JPM na Lowassa (JPM alimsumbua mno Lowassa hasa kwenye biashara zake) bali pia "kumrudisha nyumbani" CCM. True friends are hard to find ktk chama cha kinafiki kama CCM.
Loyal friend: Jinsi Rostam Aziz na marehemu Lowassa walivyobaki marafiki hadi mauti yalipomkumba ...
Mmoja wa marafiki wa kweli wa Lowassa alikuwa Rostam Aziz. Ndo aliewezesha sio tu kuondoa tofauti kati ya JPM na Lowassa (JPM alimsumbua mno Lowassa hasa kwenye biashara zake) bali pia "kumrudisha nyumbani" CCM. True friends are hard to find ktk chama cha kinafiki kama CCM.
Evarist Chahali
Evarist Chahali
Wakati Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya kiuchumi kutokana na uhaba wa sukari na dola za kimarekani, ilhali “mgao wa milele wa umeme” ukiendelea bila dalili ya kupatikana ufumbuzi, kuna uwezekano wa Rais Samia Suluhu kufanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri. Tanzania, Lake, Digital
Uwezekano wa Rais Samia kufumua tena baraza lake la mawaziri, ni kutokana na "mifumo kutosomana",...
Wakati Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya kiuchumi kutokana na uhaba wa sukari na dola za kimarekani, ilhali “mgao wa milele wa umeme” ukiendelea bila dalili ya kupatikana ufumbuzi, kuna uwezekano wa Rais Samia Suluhu kufanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri.
Evarist Chahali
Evarist Chahali
SYNOPSIS: The Spy Coelho is a novel by Paulo Coelho, a Brazilian author, politician, and musician. It follows the abilities of a super-intelligent black cat named Moura, who becomes involved with a group of spies looking to change the world. The book explores themes of fate, leadership, and the power of belief, all popular themes in the work of Paulo Coelho. Because the story is short, the novel's ending is not necessarily happy or sad, but rather leaves the reader with questions about what h... Sunday Readings, The Power Of Belief, Change The World, Continue Reading, Synopsis, Leadership, Beliefs, The Book, Novels
#SundayReading 18/02/2024
SYNOPSIS: The Spy Coelho is a novel by Paulo Coelho, a Brazilian author, politician, and musician. It follows the abilities of a super-intelligent black cat named Moura, who becomes involved with a group of spies looking to change the world. The book explores themes of fate, leadership, and the power of belief, all popular themes in the work of Paulo Coelho. Because the story is short, the novel's ending is not necessarily happy or sad, but rather leaves the reader with questions about what h...
Evarist Chahali
Evarist Chahali
Kuna mambo yanatia hasira sana kuhusu nchi yetu. Ni mengi, lakini kwa Jasusi, jambo ambalo sio tu linamtia hasira bali pia linamtatiza sana ni kutapakaa kwa watendaji mbalimbali wa serikali ambao wanatumikia Idara za Usalama wa Taifa za nchi nyingine. Kuna, Mambo, Let It Be, Post
Mbunge huyu ni jasusi wa nchi moja jirani, ambaye Idara ya Usalama wa Taifa inafahamu kuwa ni pan...
Kuna mambo yanatia hasira sana kuhusu nchi yetu. Ni mengi, lakini kwa Jasusi, jambo ambalo sio tu linamtia hasira bali pia linamtatiza sana ni kutapakaa kwa watendaji mbalimbali wa serikali ambao wanatumikia Idara za Usalama wa Taifa za nchi nyingine.
Evarist Chahali
Evarist Chahali
Safu ya Mezani kwa Chahali MENGINEYO Salama, Lipo
Toleo la wiki hii la gazeti la bure la kila wiki #PAMBAZUKO lipo mtaani. Kutumiwa nakala yako tum...
Safu ya Mezani kwa Chahali MENGINEYO
Evarist Chahali
Evarist Chahali
Jana, Makamu wa Rais Dokta Philip Mpango aliwatangazia Watanzania kwamba Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Tanzia hii ya kiintelijensia hii inazungumzia matukio muhimu (kiintelijensia) kuhusu marehemu Lowassa ambaye alishika nyadhifa mbalimbali serikalini na kisiasa. Makala haitozungumzia wasifu mrefu wa marehemu Lowassa, kwa sababu hilo limeshafanyika mara kadhaa hata kabla hajafariki. Dar Es Salaam, Philip, Edward
Tanzia ya kiintelijensia: maisha na nyakati za Marehemu Edward Ngoyai Lowassa
Jana, Makamu wa Rais Dokta Philip Mpango aliwatangazia Watanzania kwamba Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Tanzia hii ya kiintelijensia hii inazungumzia matukio muhimu (kiintelijensia) kuhusu marehemu Lowassa ambaye alishika nyadhifa mbalimbali serikalini na kisiasa. Makala haitozungumzia wasifu mrefu wa marehemu Lowassa, kwa sababu hilo limeshafanyika mara kadhaa hata kabla hajafariki.
Evarist Chahali
Evarist Chahali
SITREP hii inapatikana pia kama video Somo: Situation report (SITREP) kuhusu hali ya Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi. Usuli wa ripoti: Majuzi, familia ya Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi ilitoa taarifa kwamba kiongozi huyo wa zamani anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari baada ya kupelekwa Hospitali [haikutajwa] kutokana na kuugua maradhi ya kifua. Chini, Report, Ali, Video, Ant
Taarifa ya kiintelijensia: SITREP (Situation Report) kuhusu Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
SITREP hii inapatikana pia kama video Somo: Situation report (SITREP) kuhusu hali ya Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi. Usuli wa ripoti: Majuzi, familia ya Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi ilitoa taarifa kwamba kiongozi huyo wa zamani anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari baada ya kupelekwa Hospitali [haikutajwa] kutokana na kuugua maradhi ya kifua.
Evarist Chahali
Evarist Chahali
MENGINEYO Dr Congo
Toleo la wiki hii la gazeti la bure la kila wiki #PAMBAZUKO lipo mtaani. Kutumiwa nakala yako tum...
MENGINEYO
Evarist Chahali
Evarist Chahali
Wiki iliyopita, aliyekuwa Waziri wa Utalii Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Simai Mohamed Said, alitangaza kujiuzulu wadhifa huo. Kupitia video iliyosambaa mitandaoni, Simai alisema amejiuzulu kutokana na alichodai mazingira yasiyo rafiki ya kazi. Sakata, Zanzibar, Kale, Sayings, Collard Greens, Lyrics, Cauliflowers
Safu ya Habari Za Zanzibar: Sakata la kujiuzulu Waziri Simai na ndoto za Dkt Mwinyi kusaka urais ...
Wiki iliyopita, aliyekuwa Waziri wa Utalii Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Simai Mohamed Said, alitangaza kujiuzulu wadhifa huo. Kupitia video iliyosambaa mitandaoni, Simai alisema amejiuzulu kutokana na alichodai mazingira yasiyo rafiki ya kazi.
Evarist Chahali
Evarist Chahali
Heri ya mwezi mpya wa Februari. Jana Jasusi alibaini kitu cha kushangaza. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ilitwiti habari, picha na taarifa kuhusu mkutano kati ya Waziri Stargomena Tax na ujumbe kutoka kampuni ya “Streit Group” ya Umoja wa Falme za Kiarabu. Katy, Group
Kulikoni? Wizara ya Ulinzi yatwiti kuhusu Waziri Stargomena Tax kukutana na ujumbe wa kampuni ya ...
Heri ya mwezi mpya wa Februari. Jana Jasusi alibaini kitu cha kushangaza. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ilitwiti habari, picha na taarifa kuhusu mkutano kati ya Waziri Stargomena Tax na ujumbe kutoka kampuni ya “Streit Group” ya Umoja wa Falme za Kiarabu.
Evarist Chahali
Evarist Chahali
Mezani kwa Chahali 👇 Changia gazeti hili la bure hapa 👇 MENGINEYO TANGAZO Kwa walio nje ya Tanzania, vitabu vinapatikana hapa AMAZON Amazon, Amazons, Riding Habit
Toleo la wiki hii la gazeti la bure la kila wiki #PAMBAZUKO lipo mtaani. Kutumiwa nakala yako tum...
Mezani kwa Chahali 👇 Changia gazeti hili la bure hapa 👇 MENGINEYO TANGAZO Kwa walio nje ya Tanzania, vitabu vinapatikana hapa AMAZON
Evarist Chahali
Evarist Chahali
Majuzi, Waziri wa Utalii Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Simai Mohamed Said, alitangaza kujiuzulu wadhifa huo. Kupitia video iliyosambaa mitandaoni, Simai alisema amejiuzulu kutokana na alichodai mazingira yasiyo rafiki ya kazi. Leo, Lion, Quotations, Idioms
Safu ya #HabariZaZanzibar: Kujiuzulu kwa Simai na ufisadi endelevu unaoitafuna Zanzibar, ACT-Waza...
Majuzi, Waziri wa Utalii Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Simai Mohamed Said, alitangaza kujiuzulu wadhifa huo. Kupitia video iliyosambaa mitandaoni, Simai alisema amejiuzulu kutokana na alichodai mazingira yasiyo rafiki ya kazi.
Evarist Chahali
Evarist Chahali
Kwa mara nyingine kwa mwaka wa 10 mfululizo, Mtanzania tajiri kuliko wote, Mohammed “Mo” Dewji ameendelea kuwa mtu tajiri kuliko wote Afrika Mashariki na Kati. Licha ya kuwa mtu tajiri kuliko wote katika ukanda huo, Mo pia ndio bilionea pekee wa dola (US Dollar billionaire) katika eneo hilo. Strive Masiyiwa, Femi, Patrice, Mohammed, Forbes, Billionaire, 10 Things
Hongera sana mkuu Mo (@moodewji) kwa kuendelea kwa mwaka wa 10 mfululizo kuwa mtu tajiri kuliko w...
Kwa mara nyingine kwa mwaka wa 10 mfululizo, Mtanzania tajiri kuliko wote, Mohammed “Mo” Dewji ameendelea kuwa mtu tajiri kuliko wote Afrika Mashariki na Kati. Licha ya kuwa mtu tajiri kuliko wote katika ukanda huo, Mo pia ndio bilionea pekee wa dola (US Dollar billionaire) katika eneo hilo.
Evarist Chahali
Evarist Chahali
Jasusi anaweza kutamka bila shaka kuwa ni Mtanzania ambaye ameongelea mara nyingi mno kuhusu tishio kubwa la kiusalama nchini Tanzania linalotokana na raia wa kigeni kujipenyeza katika kada za uongozi. Lakini wakati anaongelea hayo mara kwa mara, hakujawahi kujitokeza mtu yeyote kuzungumzia kuhusu suala hilo. Jasusi alijipa moyo kuwa labda suala hilo halizingumziwi sana kwa sababu kimsingi ni la kiintelijensia, na “watu wa kawaida” wanaweza kuwa hawaelewi kuhusu uwepo wake au ukub... African Nations, Defence Force, Security Service, Jacobs, Government, Presidents, People, People Illustration
Pongezi CDF Jen Mkunda kueleza kuhusu raia wa kigeni waliomo/walioteuliwa serikalini, Idara ya Us...
Jasusi anaweza kutamka bila shaka kuwa ni Mtanzania ambaye ameongelea mara nyingi mno kuhusu tishio kubwa la kiusalama nchini Tanzania linalotokana na raia wa kigeni kujipenyeza katika kada za uongozi. Lakini wakati anaongelea hayo mara kwa mara, hakujawahi kujitokeza mtu yeyote kuzungumzia kuhusu suala hilo. Jasusi alijipa moyo kuwa labda suala hilo halizingumziwi sana kwa sababu kimsingi ni la kiintelijensia, na “watu wa kawaida” wanaweza kuwa hawaelewi kuhusu uwepo wake au ukub...
Evarist Chahali
Evarist Chahali